3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= Γ 6
IPO KIMARA KOROGWE
π₯ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#VYUMBA VYOTE VINAMAKABATI NDANI YA NGUO
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
#GARDEN
BEI NI 600,000/= Γ 6
πΉπΏ NYUMBA HII NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE IPO KIMARA KOROGWE
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 50O NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300