3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







House for Rent Stand Alone Inajitegemea fancy yake Mwenyewe
Location Kimara Stop Over Km 1 From Road Usafiri ni Boda au Kutembea
Kodi 400000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Room 3 Moja ni Master Bedroom
Sitting Room Kubwa
Dining room
Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Garden nzuri
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565