3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NI NYUMBA KUBWA SANA YA FAMILIA INAPANGISHWA 500K
IPO KIMARA KOROGWE KILUNGILE
KODI NI 500X6
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA KIMOJA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE FENS NDO INAJENGWA
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI LUKU YAKE MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDANI
NJE IMESHAPIGWA RANGI MAFUNDI WAPO NDAN KUMALIZIA FINISHING YA NDAN
SERVICHAJ ELFU 15
#CONTACT
#0677445508