3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA MPYA KABISA KUBWA SANA KWA FAMILIA ZIKO 3 TU KWENYE FENSI #BEI 500K
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI
#DAINING TABLE
#STORE
#PUBLICK TOILET
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING ZINAWEKWA ILI KUWEKA MAZINGIRA MAZURI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA MPKA UPATE NYUMBA
#NYUMBA HII ITAKUWA TAYALI MTU KUHAMIA TAREHE 15/02/2025
#0715949085
#0782838336