3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


(500,000 ร 6) ๐๐๐ ๐๐ฅ๐ ๐ง๐๐ ๐๐ข๐ก๐
NYUMBA HII NZURI IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA NA ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI BEI NI 500,000/= ร 6
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01/11/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
๐ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#GARDEN
#ZIPO NYUMBA MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 500,000/= ร 6
๐ซ๐ซ NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU
USAFIRI NI BAJAJI NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO.NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
๐ฆ๐ฒ๐ฟ๐๐ถ๐ฐ๐ฒ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ด๐ฒ ๐ป๐ถ ๐๐ต๐ถ๐น๐ถ๐ป๐ด๐ถ 15,000
๐ ๐ฎ๐น๐ถ๐ฝ๐ผ ๐๐ฎ ๐ฑ๐ฎ๐น๐ฎ๐น๐ถ ๐ป๐ถ ๐บ๐๐ฒ๐๐ถ ๐บ๐บ๐ผ๐ท๐ฎ
๐๐ผ๐ป๐๐ฎ๐ฐ๐:
0654101710
0787205300