3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


(600,000X6) KIMARA KOROGWE DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NYUMBA KUBWA SANA INAFAA KWA FAMILIA KUBWA WAPANGAJI 2 TU HII NDIO NYUMBA KUBWA INAPANGISHWA #BEI 600K
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#VYUMBA 2 NI MASTER
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#STORE
#DAINING
#PUBLICK TOILET
#MAKABATI VYUMBANI KOTE
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA PAVING BLOCKS NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 600,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024