3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(300,000X6) KIMARA MWISHO 3KM BAJAJI 1000
=========
NYUMBA INAPANGISHWA
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO KIMARA MWISHO
UMBALI KM 2 .5
Ipondani ya fence parking kubwa sana
boda boda 1000
Bajaji 800
Seble kubwa sana
Vyumba VITATU VYA kulala kimoja master
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Service charge 15,000/
Kodi 300,000,/=×6
--------
Nb
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki tatu 300,000,
CONTACT US:-
0716223412
0618976024