3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


STAND ALONE HOUSE FOR RENT #600K.
IPO KIMARA KOROGWE MAENEO YA KILUNGULE KWA DARWESH UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.
SIFA ZAKE -
Inajitegemea yenyewe kwenye fensi, perving block, Electric Security guard.
Vyumba 3 ndani vya kulala Viwili Master bedroom, Sebule, Dining, Jiko na public toilet, Tails, gypsum, Madirisha vioo.
Servant coter ya Chumba Master, jiko na public toilet.
Rezev Simtank zipo mbili ,Maji Dawasa yapo 24hrs.
KODI - Tshs laki 600,000 /=
Kwa mwezi.
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba.
Kuona nyumba elfu 20,000 /=
-------------
NB -
MPANGAJI ANAETAKIWA HAPA NI MKIRISTO TU, NA KODI MALIPO NI MIEZI SITA CHINI YA HAPO " HAPANA !!!!!.



















