3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NI NYUMBA NZR KUBWA INAPANGISHWA
.
INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE. STAND ALONE
.
KODI NI 650,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
NYUMBA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE UWANJANI
.
UMBALI KM 1.3 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 500 BODA 1000 NA BRBR NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
.
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA VITATU VIKUBWA
KIMOJA MASTER KUBWA
SEBULE KUBWA
DAINING
JIKO ZURI KUBWA
LENYE MAKABATI
PUBLIC TOILET
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
NAJI YAKE
DAWASA
YANAFLOW NDANI
NDANI YA FENSI
PARKING SPACE KUBWA
PERVING BLOCK SAFI
ELECTRONIC FENCE
USALAMA WA KUTOSHA
MAZINGIRA MAZURI NA TULIVU
.
HII NYUMBA INAPIGWA RANGI YOTE NDANI NA NJE NDG MTEJA WANGU
.
SERVICHAJ ELFU 15
.
CONTACT