3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 500,000

NYUMBA HII NZURI IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA NA ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01/11/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO

🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#GARDEN

#ZIPO NYUMBA MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA

BEI NI 500,000/= X 6

💫💫 NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU USAFIRI NI BAJAJI NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

0753 989554
0773700963
==÷=÷=

Bashiri Ngenzi
dalali_mbezimwisho_kibamba
Bashiri Ngenzi

Similar items by location

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

(450,000X6)KIMARA KOROGWE ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖🔥 STAND ALONE YA FAMILIA KUBWA INAPANGISHWA➖➖➖➖➖📍 Kimara Korog...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6🌟 ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

(500,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANG...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 300,000X6 LOCATION KIMARA KOLOGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAF...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6 ITAKUA WAZI KU...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

Apartiment house for rent nzuri kali sana mpya kabisa Location kimara suka karibu kabisa na barabara...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Apartiment house for rent nzuri kali sana Location kimara temboni km 3Kodi 300000 kwa mwezi na dalal...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6 ITAKUA WAZI KU...

House for sale at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

200K X6 INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI NIMEISHUSHA BEI NJOO TUMALIZE CHAPUMBALI KUTOKA BARABARANI KM 1....

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

#APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6 ITAKUA WAZI K...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 300,000X6 LOCATION KIMARA KOLOGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAF...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 250,000X6 LOCATION KIMARA KOLOGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAF...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT'S ZINA PANGISHWA LOCATION:KIMARA TEMBONI KM2.5 KUTOKA LAMI USAFIRI UPO BAJAJI 700#VYUMBA ...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT NZURI KUBWA INA PANGISHWA KODI 250,000X6 contact 0VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER S...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 250,000X6 LOCATION KIMARA KOLOGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAF...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

🇹🇿Apartment Classic For Rent Ipo Jirani Na Barabara Location: KIMARA TEMBONI Upande Wa Kulia Kama ...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

Apartment Classic For Rent ✨️ Location: KIMARA KOROGWE KILUNGULE Distance: KM 1.5 Kutoka Morogoro Ro...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

INAPANGISHWA(300K X 04) STAND ALONE ------------------------------📌KIMARA TEMBONI (Dsm) 🇹🇿Umbali:...