3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#0742260844 #NYUMBA KUBWA SANA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA
KODI 250,000X6
VYUMBA VITATU VYA KULALA VIKUBWA SANA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO KUBWA
CHOO CHA FAMILIA
LOCATION: KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
UMBALI KM 2.5
BAJAJI 1000
DALADALA 700
IPO NDANI YA FENSI ILA HAILAZI GARI NA GARI INAISHIA MITA KAMA 4
KWENYE FENSI IPO PEKEAKE HAKUNA KUSHEA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA