3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


HOUSE FOR RENT STAND ALONE
LOCATION
KIMARA BARUTI
KM 1.2 TOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI WA BODA BODA BUKU
BEI NI 400,000/=X6
SIFA ZAKE
NI VYUMBA 3 KIMOJA NI MASTER
MASTER INA AIR CONDITION
SEBULE KUBWA SANA DINNING
JIKO KUBWA LENYE STORE
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
FENSI UPANDE PARKING KUBWA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0753 989554
0773700963
======