3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







STAND ALONE KUBWA YA FAMILY INA PANGISHWA KIMARA MWISHO
KODI 400,000X6
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA
KIMOJA MASTER KUBWA SANA
CHOO CHA FAMILIA NA BAFU LAKE
SEBULE KUBWA NA DINNING
JIKO KUBWA NA STORE
IPO NDANI YA FENSI PACKING KUBWA SANA FULL PAVING BROCK
UKILIPIA INAFANYIWA SERVICE NDOGONDOGO UNAINGIA
IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
UMBALI KM 2.5
BAJAJI 1000
BODA 1000
TAX 1000
KUONA NYUMBA SERVICE CHURGE 20000
##0655256419
##0741547273



















