3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


STAND ALONE HOUSE FOR RENT ###400K
-----------------------
Nyumba inayojitegemea yenyewe kwenye fensi inapangishwa ipo kimara mwisho umbali wa km 1.5 kutoka Morogoro Road kimara Mwendokasi Terminal.
Ina vyumba 3 vya kulala kimoja master
Public toilet / choo / Bafu
Sebule kubwa
Dining room
Jiko lenye makabati
Tails ###gypsum
Madirisha Aluminium
Umeme Luku inajitegemea
Maji Dawasa yanaflow chooni jikoni
Ipo ndani ya fensi ( rafu ya zege ) parking space ipo.
-------
Kodi ni laki 400,000/=
Kwa mwezi.
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba.
Kuona nyumba elfu 15,000 /=
------
0679 956 863
0759151524
0781 418 437