3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KUBWA NZURI SANA INA PANGISHWA KIMARA SUKA
KODI 500,000X6
UMBALI DAKIKA 10-15 KWA MGUU
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA PUBLIC TOILET YA NDANI NA NNJE
STORE KUBWA NDANI NA NNJE
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
ZIPO APARTMENT 3 TU
BARABARA MKEKA HADI KWENYE NYUMBA
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMEME LUKU YAKO MAJI MITA YAKO NA YANA TILILIKA NDANI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
0712656027



















