3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







https://chat.whatsapp.com/Iuh5fE1OvFnDOijIoSkygS
STAND ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILY INA PANGISHWA
KODI 400,000X6
UMBALI KM 1.2
LOCATION: KIMARA SUKA
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA VIKUBWA SANA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA NA DINING
JIKO KUBWA LA MAKABATI YA JUU NA CHINI
STORE KUBWA
INA RESERVE YA MATENKI MAWILI
INA PAMPU YA KUPANDISHA MAJI
INA KISIMA CHA MAJI DAWASCO YANA FLOW NDANI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA