3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(250,000X6)KIMARA MWISHO 2KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 1000
➖➖➖➖➖➖➖
STEND ALONE INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 2
HII NYUMBA IPO NDANI FENCE PEKEYAKE
SIFA YA NYUMBA NI
Vyumba vitatu vya kulala sebure kubwa sana na jiko
Hakuna master nyumba yakifamilia
BEI KITONGA SH 250,000 X 6
USAFIRI BAJAJI SH 1000 BODABODA SH 1500
MLANGONI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
UKIPENDA NA KULIPA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZ MMOJA
CONTACT US:-
0716223412
0618976024
☆☆☆☆