3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMI. INAKUWA WAZI TAR1.3.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
.
SIFA ZAKE
==========
VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA
JIKO LAKO LA NJEE
PUBLIC TOILET
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
.
SERVICE CHARGE 15,000=
.
KODI 250,000/=ร6
.
CONTACT
0742260844
0657384670