3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA HII NZURI IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA NA ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI BEI NI 500,000/= X 6
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01/11/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
π NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#GARDEN
#ZIPO NYUMBA MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 500,000/= X 6
π«π« NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU USAFIRI NI BAJAJI NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Simu 0757 404087