3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(400,000X6)KIMARA MWISHO DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO..INAWEKWA TILES KOTE
➖➖➖➖➖➖➖➖
HIZI NYUMBA ZIKO 2 TU KWENYE FENSI MOJA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 3VITATU VYA KULALA VIKUBWA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE KABATI
#PUBLICK TOILET
#NYUMBA HII INAFANYIWA MABORESHO YA KUWEKWA TAILZY KOTE
#TAILZY TNG JUU MADIRISHA YA SHATA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA MPKA UPATE NYUMBA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453