3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER
DK 12
KUTOKA STEND STOP OVER
PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA ELFU 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
_________________
nyumba ina vyumba vi 3
Ira kimoja wanakifanya jiko
Vina bakiya viwilli ambacho kimoja ni master bedroom
Na pabrck ya ndani ipo Sebule kubwa sana
Nyumba ipo mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
________________
kwa mwezi ni laki mbili nanusu tuu/=
(250,000)
X5
CALL
0712656027



















