3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







1.2ML INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.1.5
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI DALALLDALA SH.500
NI NYUMBA KUBWA INAYOFAA KWA MTU MWENYE FAMILIA KUBWA KWA MATUMIZI YA MAKAZI
VYUMBA VITATU VYA KULALA NA VIWILI KATI YA HIVYO NI MASTER BEDROOM SEEBULE KUBWA DINING ROOM KUBWA JIKO KUBWA LINAFUNGWA MAKABATI PUBLIC TOILET NA BAFU LAKE
TYRIES JIPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENSI INAJITEGEMEA GETI LA PEKE YAKE
LINAFUNGWA A/C
CCTV CAMERA ๐ท
HEATER YA MAJI MOTO
ELECTRIC FENSI
SECURITY ALARM โฐ๏ธ
INA PERVING
GARDEN
NYUMBA HII BADO MPYA KABISA NA HAIJAWAHI KUKALIWA
ILIPWE SHILINGI MILIONI MOJA NA LAKI MBILI KWA MWEZI NA MUDA WA MALIPO NI MIEZI SITA
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI TZ'S 20K
CONT ๐
0713661530_0783661530