3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(200,000X6)KIMARA KOROGWE 1.5KM USAFIRI BAJAJI AU BODABODA...
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
ISHI KWA MALENGO NDUGU MTEJA NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6
🌟NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3VITATU VIKUBWA VYA KULALA
#SEBULE KUBWA SANA
❌HAKUNA MASTER BEDROOM
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PARKING KUBWA
BEI NI 200,000/= X 6
💫💫NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024