3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







( 300,000 x 6 ) KIMARA MWISHO NYUMBA KUBWA YA KIFAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE ( STAND ALONE ) INAPANGISHWA NDANI YA FENCE
UMBALI KILOMETER ( 2 , 5 ) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA
BAJAJ BUKU TU
VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA WAPO MASTER SEBULE KUBWA PUBLIC TOILET YA NDANI NA JIKO LA KISASA
TILES GPYSUM SLAIDING
WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
NDANI YA FENCE PARKING SPEACE KUBWA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
What saapp number 0689-547258



















