3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#STAND_ALONE ya vyumba vitatu (400,000) #KIMARA_TEMBONI
UNAWEZA KUPITIA MBEZI KIBANDA CHA MWENDOKASI
NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= ร 6
๐ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PARKING KUBWA
BEI NI 400,000/= ร 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI CAUTION MONEY KODI YA MWEZI MMOJA
๐น๐ฟ NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO KIMARA TEMBONI
PIA UNAWEZA KUPITIA MBEZI KIBANDA CHA MKAA
NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UPO KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0677445508