3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
HOUSE FOR RENT STAND ALONE
➖➖➖➖➖➖➖➖
LOCATION
KIMARA BARUTI
DK 10 TOKA MOROGORO ROAD
BEI NI 600,000/=X6
SIFA ZAKE
VYUMBA 3 KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA DINNING
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
FENSI NA PARKING NI KUBWA
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
CONTACT US:-
0716223412
0683597453