3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🏠STAND ALONE KALI INAPANGISHWA KIMARA MWISHO
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER,
SEBLE KUBWA,
JIKO NA
CHOO PUBLIC NDANI
BAFU KUBWA
UMEME NA MAJI LUKU YAKO NA MAJI YA FLOW NDANI
=====≈==
ULINZI WA UWAKIKA NYUMBA IKO VIZURI SANA UMBALI TOKA MOROGORO ROAD DAKIKA SITA
💰KODI LAKI 600,000 X5
HAIPUNGUI MIEZI TAJILI
KWENDA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE ELFU 15,000
#0625606710