3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT KALI NZURI SANA INA PANGISHWA
KIMARA KOROGWE DAKIKA 10-15 KWA MGUU
KODI 400,000X6
INA VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA
HAKUNA MASTER ILA KUNA PUBLIC TOILET YA NDANI
JIKO KUBWA SANA
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA TILILIKA NDANI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
NYUMBA HII ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 1/11/2025
ILA KUONA NA KULIPIA LUKSA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347