3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI KUBWA INAUZWA BEI NI MILIONI 140 MAONGEZI YAPO
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
#PAVING
UKUBWA WA ENEO NI 25/30 METERS
DOCUMENT:- HATI SAFI YA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA
BEI NI MILIONI 140 MAONGEZI YAPO
💫💫 NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 20 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30
💥 NYUMBA HII KWA SASA INA MPANGAJI ANALIPA KODI YA LAKI 6 (600,000/= ) KWA MWEZI
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747