3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
(250,000X6)KIMARA SUKA GOLANI...KANISA LA ROMA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NI NYUMBA NZR INAPANGISHWA
.
IPO KWENYE FENCE YA PEKE YAKE. STAND ALONE
.
LOCATION: KKMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
.
UMBALI WA KM 2.5 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI BAJAJI 700 BODA ELFU 1500 MPKA GETIN
.
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
ILA UKIJA KUIONA NA UKAIPENDA MAZUNGUMZO YA BEI YAPO KIDOGO
.
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA VITATU
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
CHOO NDANI PUBLIC
AINA MASTER
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAKE
DAWASA
YANAFLOW CHOONI
NYUMBA NZR
MAZINGIRA TULIVU
.
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
.
CONTACT
0716223412
0683597453