3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


STAND ALONE NYUMBA INAYOJITEGEMEA KWENYE FENSI YAKE KUBWA SANA #BEI 400K
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#DAINING
#JIKO KUBWA SANA LENYE MAKABATI
#CHOO NA BAFU VYA FAMILIA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS
#ELECTRICK FANCE
#NYUMBA HII INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI PARKING KUBWA BARAAAAAAAAA
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUA MIEZI
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10-12 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
__
#0714335450
#0714335450
__
PIGA SIMUUU