3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA STOP OVER DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI 
------
Vyumba 3 vya kulala 2 master bedroom 
Master ya mlipa kodi kibwa sana
Seble kubwa 
Dinning room 
Jiko kubwa lina wekwa mabo na sinki 
Maji yana flow 
Luku yako 
Ndani ya fence 
Parking space kubwa sana 
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000x6 
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
--------0677445508
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐



















