3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 500,000

NYUMBA HII NZURI IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA NA ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01/11/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO

๐ŸŒŸ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#GARDEN

#ZIPO NYUMBA MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA

BEI NI 500,000/= X 6

๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU USAFIRI NI BAJAJI NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

Simu 0757 404087

Dalali_Nyumba_ubungo_kimara@
dalali_nyumba_dar_es_salaamm
Dalali_Nyumba_ubungo_kimara@

Similar items by location

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

:๐˜ผ๐™ฅ๐™–๐™ง๐™ฉ๐™ข๐™š๐™ฃ๐™ฉ ๐™‰๐™ฏ๐™ช๐™ง๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™†๐™ช๐™ฅ๐™–๐™ฃ๐™œ๐™– #MPYAA#๐™‡๐™ค๐™˜๐™–๐™ฉ๐™ž๐™ค๐™ฃ: KIMARA STOP OVER #๐˜ฟ๐™ž๐™จ...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

#MASTER KUBWA NA JIKO ------------------------------๐Ÿ“ŒMahali: KIMARA SUKA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZ...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

0679 997610 APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DK7 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BARABA...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NEW NEW APARTMENT MPYA ZIKO 4 TU KWENYE COMPAUND MOJA ZINAKUWA TAYALI KUHAMIA TAREHE 30/11/2025 MAL...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DK7 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BARABARA SAFI YA Z...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DK7 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BARABARA SAFI YA Z...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA SUKA GOLAN UMBALI-KM 2.5 MPYA BEI SHILLING 200,000 X 6SIFA YA...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI UPO WA U...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DK7 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BARABARA SAFI YA Z...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMI ----Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedro...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA STOP OVER DK5 KWA MIGUU K...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

SASA BEI IMESHUKA KUTOKA 300,000/= HADI 250,000X6 APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISH...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

(250,000X6)KIMARA KOROGWE DK 5-6 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–NEW NEW APARTMENT MPYA ZIKO...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

(250,000X6)KIMARA KOROGWE DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–HIZI APARTMENT MPYA KABISA...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

(250,000X6) KIMARA MWISHO DK 4 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMA...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

(700,000X6), KIMARA STOPOVER DK 5 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROADโž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–STAND ALONE NYUMBA INAYOJITE...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO DK4 TU KWA MIGUU KUTOKA LAMI. CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBLE KU...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

(250,000 ร— 6) ๐—ž๐—œ๐— ๐—”๐—ฅ๐—” ๐—ฆ๐—ง๐—ข๐—ฃ ๐—ข๐—ฉ๐—˜๐—ฅAPARTMENT MPYA KABISA ZINAPANGISHWA KIMARA STOP OVER DK...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NEW NEW APARTMENT MPYA ZIKO 4 TU KWENYE COMPAUND MOJA ZINAKUWA TAYALI KUHAMIA TAREHE 30/11/2025 MAL...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DK7 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BARABARA SAFI YA Z...