3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
#𝗦𝗧𝗔𝗡𝗗_𝗔𝗟𝗢𝗡𝗘 𝗛𝗢𝗨𝗦𝗘 (600,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗞𝗢𝗥𝗢𝗚𝗪𝗘 𝗞𝗜𝗟𝗨𝗡𝗚𝗨𝗟𝗘
𝗞𝗺 2 𝗸𝘂𝘁𝗼𝗸𝗮 𝗸𝗶𝘁𝘂𝗼𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝗻𝗱𝗼𝗸𝗮𝘀𝗶
CLASSIC STAND ALONE HOUSE FOR RENT ###600K
-------------------'-----.
NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE MAENEO YA KILUNGULE UMBALI WA KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD
-----------------
Vyumba 3 vya kulala ,Master bedroom 2
Sebule
Dining room
Jiko la kisasa
Public toilet
Umeme Luku inajitegemea
Maji Dawasa yanaflow chooni jikoni
Full paving block𝘀
Re𝘀𝗲𝗿𝘃𝗲 Sim tank
Electric Security guard
Servant coter/ Chumba / jiko / choo
Car parking space
Ndani ya fensi
Kodi ni laki 600,000 /=
Kwa mwezi
-----------------
NB
MPANGAJI ANAETAKIWA HAPA NI MKIRISTO TU " ZINGATIA UTARATIBU
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0715949085
0782838336