3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA SANA INAPANGSHWA WAPANGAJI 2 TU HII KUBWA NDIO IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI YA KISASA
#DAINING TABLE
#PUBLICK TOILET
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#FULL ICE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA IPO NDANI YA FENSI WAPANGAJI 2 TU HII KUBWA IPO WAZI
#LOCATION KIMARA STOP OVER DK 5 TU KWA MIGUU KUTOKA MAIN ROAD NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
Kodi 660,000/= Kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.



















