3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam





STAND ALONE KUBWA ITAKUWAZI 18/4/2025/
#KIMARA_TEMBONI
——
💥 KODI NI Tsh. (300,000x6
🌍 LOCATION: KIMARA TEMBONI UMBALI WA KM 1.KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI UPANDE WA KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI
VYUMBA VITATU VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE NZURI SANA
JIKO LA KISASA FULL MAKABATI
✔️NYUMBA HAINA FENCE
✔️ PARKING SPACE KUBWA SANA
✔️ UMEME LUKU INAJITEGEMEA
✔️ METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
✔️ MAJI YANAFLOW CHOONI NA JIKONI
✔️FENI ZA JUU
✔️ GARDEN SAFI
KODI NI Tsh. 300,000\/= × 6
SERVICE CHARGE NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
📞 CONTACTS
#0785889413🔥🔥