3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HII NI STAND ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILY INAPANGISHWA 500K
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI DAKIKA 10-15 KWA MGUU
INA VYUMBA VITATU VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
DINNING
JIKO KUBWA LENYE MAKABATI YA JUU NA YA CHINI
PUBLIC TOILET YA NDANI
STORE KUBWA
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCKS
INA TAILS JIPYSUM MADILISHA YA KIOO
MAJI DAWASCO YANA FLOW NDANI NA TANK LAKO
KODI NI 500,000X6 MIEZI ISIPUNGUE
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
NYUMBA HII SASA IPO WAZI TIYALI
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 1/9/2025
KUONA NA KULIPIA LUKSA
ILA KULIPIA LUKSA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
=====
###0655256419