3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
HII NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#DAINING
#JIKO KUBWA MAKABATI
#STORE
#CHOO CHA WAGENI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS
#CCTV CAMERA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#NYUMBA IPO KWENYE FENSI INALAZA GARI NDOGO 2
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 5
simu 06 59 33 67 51 wsp 07 86 08 56 37