3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
#VYUMBA 3 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, DINNING ROOM, STORE, GERAGE PARKNG, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
*STAND ALONE, NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KILOMETA 3 KUTOKA MOROGORO ROAD BAJAJI, NOAH700/=
*KODI 600,000/= KWA MWEZI
_____________________________
*HII NYUMBA ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 16/4/2024, KUONA NA KULIPIA RUKSA
*KWA MAELEZO ZAIDI
======================
0713661530_0783661530
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
_____________________________