3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿 #NYUMBA #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Suka
🕑1.8km Kutoka Morogoro Main Usafari Boda Boda Mpaka Hapo
#SIFAZAKE
🔹Vyumba vitatu, Vyote master
🔹Sebule
🔹Dining
🔹Jiko
🔹Public Toilet ya ndani
🔹Umeme Luku yake, Maji yanaflow ndani
🔹Fensi & Parking kubwa
👉Ziko 2 Tu kwenye Fensi na hii Moja iko wazi na Mafundi wanaendelea na Ukarabati
🔶Kodi Tsh 400,000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Jose Tsh 400,000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊