3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#MADIRISHA YA NYAVU
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PARKING
KWA WAFUGAJI HAPA NDIO MAHALA PAKE KUNA ENEO KUBWA LA KUFUGIA
BEI NI 300,000/= X 6
🇹🇿 NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
📌📌NYUMBA HII INAFANYIWA UKARABATI WOTE WA NDANI NA NJE NA KUPIGWA RANGI SAFI
0679447338
0753454167