3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Stand Alone kali sana inapangishwa KIMARA MWISHO
Hii nyumba inajitegemea yenyewe ndani ya fensi peke yake
Ina vyumba vitatu vya kulala
Chumba kimoja master
Makabati vyumbani ya nguo
Sebule kubwa sana
Dining
Jiko zuri la kisasa
Store ya chakula
Public toilet
Maji yanaflow ndani na una SIM TANK la reserve
Umeme unajitegemea
Parking ipo
Kodi ni 600,000 × 6 ila Kuna mazungumzo ya Bei kidogo Kwa mteja serious
Ipo KIMARA MWISHO upande wa kulia kama unaelekea Mbezi
Ni km 1.8 tu kutoka MWENDOKASI
Usafiri:
Daladala za kuchangia kutoka Stand ni 500/=
Bajaji za kuchangia ni 1000/=
BODA 1000
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
SIMU
0712656027



















