3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI KUBWA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA DAINING
#JIKO KUBWA SANA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA SANA
#MAJI YANATOKA NDANI MASAA 24
BEI NI 600,000/= X 6
💫 NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO KIMARA STOP OVER NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DAKIKA 10 USAFIRI NI BODABODA 1000 NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA BARABARA YAZEGE
NDUGU MTEJA PIA KUNAMABANDA YAKUFUGA KUKU PIA KUNA GAREGY PIA KUNA SAVENT KOTA YA CHUMBA SEBURE PIA KUNAMLINZI ANALIPWA NA MMILIKI
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0753 989554
0773700963
=====