3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







650,000 x6. 0781 418 437 pg 0679 956 863 WSP
NYUMBA KUBWA NZURI YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI BEI NI 650,000/= X 6
MAFUNDI WAPO KAZINI KUIKARABATI NA KUNG'ARISHA NYUMBA
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#ELECTRIC FENCE
#PARKING
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
BEI NI 650,000/= X 6
💫💫 NYUMBA HII KUBWA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0781 418 437
0759151524
0679 956 863