3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







ISHI KWA MALENGO NDUGU MTEJA NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6
🌟NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA
#SEBULE KUBWA SANA
❌HAKUNA MASTER BEDROOM
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PARKING KUBWA
BEI NI 200,000/= X 6
💫💫NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0713661530_0783661530