3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







House for Rent Stand Alone Inajitegemea Fancy yake Mwenyewe Ina Eneo la Kufunga Kuku
Location Kimara Stop Over Dakika 8 Kutembea mpaka Kituoni Barabarani Morogoro Road
Kodi 550000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
=========
Room 3-2 ni Master Bedroom Kubwa
Sitting room Kubwa sana
Kitchen with Cabinet
Store
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Dirisha shata
Parking space fancy
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565