3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HII NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE
LOCATION: KIMARA MWISHO
SIFA ZAKE KODI NI 400,000X6
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#DAINING
#JIKO KUBWA
#STORE
#CHOO CHA WAGENI NA BAFU LAKE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#NYUMBA IPO KWENYE FENSI INALAZA GARI NDOGO 2
#LOCATION KIMARA MWISHO UMBALI KM2 KUTOKA MWENDOKASI
UFAFILI BAJAJI 1000
UKISHUKA DAKIKA 2TUU
BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI X6
KUONESHWA NYUMBA 20,000
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258