3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA STOP OVER DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI. 
VYUMBA 3 VYA KULALA 2 MASTER BEDROOM 
CHUMBA CHA MLIPA KODI KIKUBWA KAMA SEBLE. 
DINNING ROOM 
SEBLE KUBWA 
JIKO KUBWA 
LUKU YAKO 
MAJI YANA FLOW 
NDANI YA FENCE 
PARKING SPACE KUBWA 
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 500,000X6
#0785888413




















