3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI #BEI 200K
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 3 VYA KULALA SIO VIKUBWA
#JIKO
#DAINING
#CHOO NA BAFU VYA NDANI
#HAKUNA MASTER
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA VYUMBANI TU NDIO HAKUNA TAILZY
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#KUMBUKA ULIPIAPO NYUMBA
MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA
SERVICE CHARGE 20,000
■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■
KWA MAWASILIANO ZAIDI
CALL/WHATSAPP)
"""":::0677370515