3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT 3 NDANI YA FENCE MOJA NA HII MOJA NDIYO INAYO PANGISHWA KIMARA STOP OVER KM1.5 KUTOKA LAMI
-------
Vyumba 3 vya kulala vyote master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
---------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_kimara 🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏